jibril JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 594 Reaction score 243 Feb 21, 2017 #1 LINE ZA UWAKALA ZA TIGOPESA BEI: 200,000 0718950680 0744993581 UKITAKA KUBADILISHIWA UMILIKIKI NI BURE TU IPA UWE NA 1.LESENI 2.TIN 3.KITAMBULISHO 4.PASSPORT 2 UTALETEWA MPAKA ULIPO
LINE ZA UWAKALA ZA TIGOPESA BEI: 200,000 0718950680 0744993581 UKITAKA KUBADILISHIWA UMILIKIKI NI BURE TU IPA UWE NA 1.LESENI 2.TIN 3.KITAMBULISHO 4.PASSPORT 2 UTALETEWA MPAKA ULIPO
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Feb 21, 2017 #2 Line hizo ni bureee nikiwa na hivyo vitu....
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Feb 21, 2017 #3 RGforever said: Line hizo ni bureee nikiwa na hivyo vitu.... Click to expand... [emoji24] [emoji24] kama naona alivyo na hasira baada ya kusoma hilo swali [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
RGforever said: Line hizo ni bureee nikiwa na hivyo vitu.... Click to expand... [emoji24] [emoji24] kama naona alivyo na hasira baada ya kusoma hilo swali [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Feb 21, 2017 #4 Raphael wa Ureno said: [emoji24] [emoji24] kama naona alivyo na hasira baada ya kusoma hilo swali [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Click to expand... Hali ya Maisha Ngumu...
Raphael wa Ureno said: [emoji24] [emoji24] kama naona alivyo na hasira baada ya kusoma hilo swali [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Click to expand... Hali ya Maisha Ngumu...
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 Feb 21, 2017 #5 Sasa kama Nina TIN, leseni ya biashara kwanini ninunue kwako? Kwanini nisiende kuchukua tigo bure kabisa. Watanzania tupunguze kuibiana jamani.
Sasa kama Nina TIN, leseni ya biashara kwanini ninunue kwako? Kwanini nisiende kuchukua tigo bure kabisa. Watanzania tupunguze kuibiana jamani.
jibril JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 594 Reaction score 243 Feb 21, 2017 Thread starter #6 RGforever said: Hali ya Maisha Ngumu... Click to expand... kachukue ya bure ukipata nami nakuongezea ya bure
RGforever said: Hali ya Maisha Ngumu... Click to expand... kachukue ya bure ukipata nami nakuongezea ya bure
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Feb 21, 2017 #7 jibril said: kachukue ya bure ukipata nami nakuongezea ya bure Click to expand... Acha Utapeli.... Fanya Kazi Ya Uhalali si kuibia watu... Line za Uwakala zinapatikana bure kama mtu ana TIN namba Na Leseni .
jibril said: kachukue ya bure ukipata nami nakuongezea ya bure Click to expand... Acha Utapeli.... Fanya Kazi Ya Uhalali si kuibia watu... Line za Uwakala zinapatikana bure kama mtu ana TIN namba Na Leseni .
jibril JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 594 Reaction score 243 Feb 21, 2017 Thread starter #8 RGforever said: Acha Utapeli.... Fanya Kazi Ya Uhalali si kuibia watu... Line za Uwakala zinapatikana bure kama mtu ana TIN namba Na Leseni . Click to expand... we kausha kama mimi ni tapeli acha niwe hivyo na wewe hukatazwi kuwa tapeli
RGforever said: Acha Utapeli.... Fanya Kazi Ya Uhalali si kuibia watu... Line za Uwakala zinapatikana bure kama mtu ana TIN namba Na Leseni . Click to expand... we kausha kama mimi ni tapeli acha niwe hivyo na wewe hukatazwi kuwa tapeli
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,132 Reaction score 7,362 Feb 21, 2017 #9 Zinapatikana bure Ila mawakala wamezifanya mitaji yao siku hizi,,ukitaka bure unaambiwa baada ya wiki mbili bas utasugua soli hat mwez mzima
Zinapatikana bure Ila mawakala wamezifanya mitaji yao siku hizi,,ukitaka bure unaambiwa baada ya wiki mbili bas utasugua soli hat mwez mzima