Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
Kwanini unasema ivyoMkuu uko serious na kazi yako
Utapat wateja
Tangazo lako umelitendea hakiKwanini unasema ivyo
AmenTangazo lako umelitendea haki
Umeonesha u serious so lazima wateja upate
Kuna watu huleta matangazo yao humu anaandika kama hataki au haweki contact au picha
Hata location wengine hawasemi
Tangazo lako umelitendea haki
Umeonesha u serious so lazima wateja upate
Kuna watu huleta matangazo yao humu anaandika kama hataki au haweki contact au picha
Hata location wengine hawasemi
mkuu hivi haya makabati panya hawaingiagi? kwambakuna kaupenyo mahala
mkuu hivi haya makabati panya hawaingiagi? kwambakuna kaupenyo mahala
Miguu ni yachuma materio yake nikama mabege ya kwenye ndegeNi la chuma mkuu
Hata hakijibu maswali kikuu hiki.
Sio LA mbao ni kama mabeg ya kwenye ndegeUimara wa mbao yake ukoje au sio la mbao? Nataka nikuungishe maana bei ni affordable
Tumesha zoea vituko vya jfEti jamaa anauliza huyo eti bado unaishi na panya ndani mpaka hivi sasa eti...?
Watu jamani. Khaaaa.
mkuu hivi haya makabati panya hawaingiagi? kwambakuna kaupenyo mahala
Ngoja nipate hela si yapo mengi mengi.Miguu ni yachuma materio yake nikama mabege ya kwenye ndege
Jamvini hapa mkuu.Wengine hawawi realistic... Show off...!Eti jamaa anauliza huyo eti bado unaishi na panya ndani mpaka hivi sasa eti...?
Watu jamani. Khaaaa.