Jipatie incubator

cyber ghost

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
239
Reaction score
162
Hii incubator nimeidesign mwenyewe kwa kutumia beseni na inauwezo wa kuangua kwa asilimia 94 inabeba mayai 70 ipo ya manual nauza 280,000 naipo ya automatic nauza 370,000 bei za ofa
 
Mbona bei kubwa jombaa.wakati ndo kwanza unatangaza biashara
 
Mbona bei kubwa jombaa.wakati ndo kwanza unatangaza biashara
Bei ya material pia ni kubwa maana motor tuu kwaajili ya egg turner ni 70k then clock timer ni 130k na temperature controller ni 100k piga hesabu utaona kama sio bei ya offer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…