Hivi bro samahani kwa ujinga wangu, "smart tv" zina vitu gani tofauti na ambazo siyo smartJipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa
Zina warranty ya miaka miwili
Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam
Tupigie au whatsapp 0765586050
Hisence 32”. 440k
Hisence 32”smart. 510k
Hisence 40. 630k
Hisence 40”smart. 740k
Hisence 43”. Smart. 810k
Hisence 49”. 810k
Hisence 49” smart. 920k
Hisence 58” smart 4k. 1,600kView attachment 1207234View attachment 1207235View attachment 1207236View attachment 1207237
Well, tunavyosema smart tv ina maanisha tv inakua na uwezo wa kama wa smart phone yaani unaweza kuangalia nyimbo youtube kupitia tv yako, unaweza ku download apps kwenye google play store. Vile vile kuna kitu kinaitwa screen share ambayo unaweza ku connect tv yako na simu au PC alafu kinachokua kinaonekana kwenye kioo cha simu au pc kinakua kinaonekana moja kwa moja kwenye TV yako bila kutumia wayaHivi bro samahani kwa ujinga wangu, "smart tv" zina vitu gani tofauti na ambazo siyo smart
Well, tunavyosema smart tv ina maanisha tv inakua na uwezo wa kama wa smart phone yaani unaweza kuangalia nyimbo youtube kupitia tv yako, unaweza ku download apps kwenye google play store. Vile vile kuna kitu kinaitwa screen share ambayo unaweza ku connect tv yako na simu au PC alafu kinachokua kinaonekana kwenye kioo cha simu au pc kinakua kinaonekana moja kwa moja kwenye TV yako bila kutumia waya
Nadhani huyo kijana alizingua tu. Kazini kwetu tunatumia Hisense kudisplay CCTV footage na haijawahi kuleta shida. Huu mwaka wa 6 hata TV moja haijawahi kusumbua.Hizi TV ni Bomu kweli, ukiwa nayo jiandae kuwa na mfuko wa akiba wa kuifanya iendelee kufanya kazi vizuri. Mwanangu alipohamia bwenini tukamnunulia moja, ikafa kabla hata semester haijasiha. Ikabidi tumpe Hitachi ambayo ndiyo anayotumia sasa. Hata kama ina warranty ya miaka kumi, maana yake ni kuwa utatakiwa kila mara kuwa unaita Warranty service mara kwa mara badala ya kupumzika na kuangalia gemu kwenye kochi.
Nyie mna bahati sana kwani nina rekodi ya TV hizo nyingi kufa mapema mno. Zinauzwa kwa bei karibu robo ya TV nyinginezo kama za Samsung na Sharp, lakini nyingi zina maisha mafupi sana. Urefu wa maisha ya vitu kama hivi ni statistical!Nadhani huyo kijana alizingua tu. Kazini kwetu tunatumia Hisense kudisplay CCTV footage na haijawahi kuleta shida. Huu mwaka wa 6 hata TV moja haijawahi kusumbua.
Nadhani kutakua na feki pia mtaani. Kwa sababu kazini wananunua kwa dealer anayeeleweka (Gadgetronix).Nyie mna bahati sana kwani nina rekodi ya TV hizo nyingi kufa mapema mno. Zinauzwa kwa bei karibu robo ya TV nyinginezo kama za Samsung na Sharp, lakini nyingi zina maisha mafupi sana. Urefu wa maisha ya vitu kama hivi ni statistical!
Tunanunua Walmart na Sam's Club; siyo mtaani!Nadhani kutakua na feki pia mtaani. Kwa sababu kazini wananunua kwa dealer anayeeleweka (Gadgetronix).
Huwezi kupata feki kwa dealer rasmi.
Sasa hivi naziamini sana LG, Samsung, Sharp, na Vizio tu; lakini haya mambo ya electronics nayo wakati mwingine ni pata potea, technolijia ya electronics imekuwa inabadilika kwa kasi sana siku hivi kiasi kuwa la jana huenda siyo la leo tena!.Tv nzr ni ipi boss ambayo angalau unaweza ukamshauri mtu na yenye maisha, je ni tcl?
Okay mkuuTunanunua Walmart na Sam's Club; siyo mtaani!
Vip mkuu una za ich24 na vipi bei yake?Jipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa
Zina warranty ya miaka miwili
Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam
Tupigie au whatsapp 0765586050
Hisence 32”. 440k
Hisence 32”smart. 510k
Hisence 40. 630k
Hisence 40”smart. 740k
Hisence 43”. Smart. 810k
Hisence 49”. 810k
Hisence 49” smart. 920k
Hisence 58” smart 4k. 1,600kView attachment 1207234View attachment 1207235View attachment 1207236View attachment 1207237