yani hizo pichq umepiga ka vile wakimbizwa....piga vizuri tuone kabisa na ukubwa wa kila chumba...sio unapiga robo chumba...mbna zipo hapo
yani...kapiga ka vile anakimbizwa...mkuu picha zinazoonyesha ndani ya chumba na ndani ya sebure mbona hujaweka
Panga halafu njoo tubadilishane makaziTatizo vyoo. sie tuliozoea vichakani hivyo vya kisasa vp
Nyumba ya Chumba master bedroom Na sebule jiko tam kwa pemben sehem ya kuingia mwenyewe Umeme WA kujitegemea mwenyewe Ndan ya gate na tank la maji juu full tiles and gypsum slide windows maji Yana flow sehem Zote Bei 150x6 nyumba ipo kimara suka Dakika 10-12 kwa mguu ni nyumba mpya kabisa.