Wakuu naomba msaada ni jinsi gani ninaweza kurestore data za kwenye external HD. Nilitumia External yangu kwenye PC ya rafiki yangu ila baada ya kuitoa ni kuwa file zote zinaonekana kuwa ni shortcut na hazifunguki hadi utumie avafind. Please nifanyeje kuzirestore?