Habarini za muda huu wapenzi wa jinsi ya kupika.
Jiweke tayari tuandae pishi letu la leo, katlesi za samaki. Ni miongoni mwa chakula kipendwacho na wengi kutokana na ladha yake. Haya sasa natumai upo tayari tuandae pamoja.
Mahitaji
samaki vipande viwili
viazi mbatata(mviringo) nusu kilo
mafuta lita 1
ndimu 2
vitunguu thoum
tangawizi
mayai 2
pilipilimanga ya unga
mdalasini wa unga kiasi
chumvi kiasi
uzile (bizari nyembamba) wa unga
Namna ya kuandaa na kupika Katlesi za samaki
Osha viazi, vichemshe mpaka viive, kisha viache vipoe