1. Jua aina ya RAM ya PC yako..kama ni DDR 2 au DDR 3 n.k
2. Jua kama waweza fungua mashine yako (hasa kwa chini) na hakikisha unajua idadi ya ram zalizomo kwenye PC yako..hapa yawezekana ram ziko mbili kwenye slots zake (1gb Kila slot) au stot moja ndio imebeba ram moja ya 2gb.
Kama ni ram moja ya 2gb basi nunua 2gb nyingine uongezee kwenye slot iliobaki...na kama ni 1gbs zipo katika slots zote basi aidha nunua 4gb (a single chip) au 2gb mbili Kisha fuata procedure hapo juu.
3. Hakikisha unapoweka ram eneo lake vile vibati vinabana vzr na Ile notch (mkato kwenye Ram) umeingia mahala lake vizuri.
4. Rudiashia sehemu uliofungua vizuri Kisha washa mashine yako na Kisha angalia kama ram imesoma vizuri.
ANGALIZO
kama PC yako ni hizi nyembamba Sana (extra slim) na hujui pa kuanzia kuifungua, tafadhari onana na wajuzi karibu yako....
Wenzangu wataendelea nikipoishia au kusahihisha zaidi.
Justin.