mwanajamii26
Member
- Dec 16, 2014
- 58
- 13
KivipiMatangazo @ work
Niffah my friend you are underestimating something huge.Matangazo @ work
Nicheki PM tufanye biashara dogo,achana na hivi viingereza vyako mpelekee rais wako.Niffah my friend you are underestimating something huge.
I expect this from anyone not you [emoji6]
Hahahaha wewe bana haya najaaaNicheki PM tufanye biashara dogo,achana na hivi viingereza vyako mpelekee rais wako.
je hii link ya ku download hiyo software ni safe? ChangeMySoftware8Edition directory listingUlisha wahi kukaa na kujiuliza kuwa ipo siku simu za Android zitaweza kuingia windows kama zilivyo simu za microsoft lumia au kama computer?
sasa n kwambie tu kuwa swala hilo linawezekana kwa sasa, kama wewe ni mpenzi wa operating system za window unaweza ingiza window kwenye simu yako ya android bila tatizo lolote na kwa urahisi kabisa.
NGOJA TUWEKANE SAWA HAPA
ninapo sema window kwenye simu za Andoid namaanisha window na sio LUNCHER ZA WINDOWS kama wengi watakavyo dhani.
Soma zaidi hapa
JINSI YA KUINGIZA WINDOWS 8, WINDOWS 8.1 NA WINDOWS 10 KWENYE SIMU ZA ANDROID - MWANAJAMII Info and Technology Solution
Nitafanya hivyoKwanini usihamishie hiyo article huku? Ili kila reviews zitolewe upande wa huku?
Upgrade simu yako na hakikisha ina memory angalau 8gb na 1gb RAMNasikiaga kwenye tecno zinazingua
Hata kama umeroot inawezekana. Kwenye iphone bado hii imewezekama baada ya microsoft kuingia mkataba na googleKama nimeroot simu yangu jee na wenye iphone tunaweza