E Ezdan22 Member Joined Aug 13, 2018 Posts 12 Reaction score 1 Sep 4, 2018 #1 Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?.... Naomben msaada
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?.... Naomben msaada
T THE MAYA EMPIRE Senior Member Joined May 6, 2018 Posts 106 Reaction score 149 Sep 4, 2018 #2 Tunakuja Sent using Jamii Forums mobile app
Kanyamulano JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 905 Reaction score 875 Sep 4, 2018 #3 Inategemea mkuu umepangwa coz gan na unahitaj kuamia coz gan Sent using Jamii Forums mobile app