Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?....
Naomben msaada

eleza maelezo yaliyo kamilka sasa hapo mtu anaanzia wapi kujibu mfano wew labda umechaguliwa LAW unataka kuhamia MEDICENE inawezekana kweli? toa maelezo kamili sio kila mtu anaweza kuama kwanza udom in collage nyingi je unataka kuhama collage au?