Mimi nimefuata procedure zote lakini inagoma baada ya kufikia hatua ya mwisho ambapo ina install na ikifika 90% inaniambia ROOT FAILED kama moja wapo ya screen shots zinavyoonekana kwenye thread ya Athanas0011 na simu yangu ni Itel 1503.
Mkuu nahitaji kuziondoa baadhi ya system apps ambazo hazina umuhimu kwangu lakini kila nikijaribu kuzitoa zinanipa warning hii imekaje simu nimeshairoot tyari msaada wako plz
Habari wakuu
Nimeroot simu ya samsung s3 mini na ina android version ya 4.1.2
Sasa nahitaji msaada wa jinsi ya kuupgrade iende kwenye Lolli pop version