manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Aug 21, 2011 Thread starter #21 Rejao said: Kwanini uhack? Yaelekea mke/gf wako anakupiga matukio sana! Unataka ujue ambacho huwa anafanya huko! Poleee Click to expand... Nimeuliza kwa nia ya kama unajua nifundishe ni swala la kujifunza tu, ssa we unakimbilia mbali mamb gf na mke yanatoka wapi?badilika kaka we bado unawaza ujinga tu.
Rejao said: Kwanini uhack? Yaelekea mke/gf wako anakupiga matukio sana! Unataka ujue ambacho huwa anafanya huko! Poleee Click to expand... Nimeuliza kwa nia ya kama unajua nifundishe ni swala la kujifunza tu, ssa we unakimbilia mbali mamb gf na mke yanatoka wapi?badilika kaka we bado unawaza ujinga tu.
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Aug 21, 2011 Thread starter #22 director1 said: huna kazi wee **** Click to expand... kweli kazi cjpata tangu nimalize masomo ndio maana nataka kuendelea kujifunza nione kama nitapata kazi. ungejibu tu kama huwezi mbwe2 za nini mleu?
director1 said: huna kazi wee **** Click to expand... kweli kazi cjpata tangu nimalize masomo ndio maana nataka kuendelea kujifunza nione kama nitapata kazi. ungejibu tu kama huwezi mbwe2 za nini mleu?
G Godwine JF-Expert Member Joined Jan 15, 2010 Posts 1,371 Reaction score 285 Aug 21, 2011 #23 kazi kweli kweli lakini tambua sheria ya Tanzania hairuhusu kuingilia mambo ya ndani ya mtu mwingine