Mtoa mada jibu hili swali! Kama hauna sema...natafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini
Tayari nimeshajibuMtoa mada jibu hili swali! Kama hauna sema...
amejibu kuwa hanaMtoa mada jibu hili swali! Kama hauna sema...
Sawa, Sina iyo boss
Unaweza kumpiga ili aishiwe nguvu au pia kumzimisha itategemea na kiwango cha shoti unayompiga
Mbona kama bei rahisi sana hio kitu!?,...kwa ulivyoielezea na bei ni vitu viwili tofautiUnaichaji na inauwezo mkubwa wa kutunza charge pia ni rechargeable device, kisha utumiaji unaweza tembea nayo au utumie muda wa tukio, utawasha kisha unapress button alafu unamgusisha mhalifu wako
Bei ya offerMbona kama bei rahisi sana hio kitu!?,...kwa ulivyoielezea na bei ni vitu viwili tofauti
how?Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
Yes, ili umpige shoti ni lazima umgusishe meno ya stun gun ambayo ndiyo yanatransfer currecthow?
hadi umguse au?
Ok.. uki ipata hiyo uta uza sana, ingia chimbo uzilete.Tayari nimeshajibu
Poa mkuu, nilikua sija onaamejibu kuwa hana
Ok.. uki ipata hiyo uta uza sana, ingia chimbo uzilete.Poa mkuu, nilikua sija ona
HOW?? NI ZILE KAMA ZA KWENYE MUVI YAANI INA VISINDANO NA WAYA AU ZILE HADI UMGUSE MHUSIKA??Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
hii hapa mkuuOk.. uki ipata hiyo uta uza sana, ingia chimbo uzilete.Poa mkuu, nilikua sija ona
Stun gun / Teaser /Shocker
Itakusaidia kujilinda na uhalifu,
ina tochi na inapiga shoti.
bei: 69,000/=
Mahali: kijitonyama
simu: 0656190449
Bidhaa nyingine zinazopatikana
CCTV - 350,000/=
PVP(Portable Vision Playing Station) - 60,000/=
Alarm system - 300,000/=
TV BOX- 90,000/=
soundbar-95,000/=
Bose wireless speaker - 80,000/=
HDD 160GB - 45,000/=
Kumbe mpaka umugusishe Mimi nilidhani unamiga mwanga Hata kwa mbali,kwa umekurupusha mwizi unapiga short anaanguka unamshughulikia,so nikama unavyoweza kutumia kisu siyo bunduki.Unaichaji na inauwezo mkubwa wa kutunza charge pia ni rechargeable device, kisha utumiaji unaweza tembea nayo au utumie muda wa tukio, utawasha kisha unapress button alafu unamgusisha mhalifu wako
Hiyo safi sana.. ameipata wapi na kwa Tsh ngapi? Inakera sana una acha mambo yako kwenda kufungua gate unakutana na mtu anakwambia anauza chupa za chai!mkuu nimeiona mahali jamaa kaweka ni nzuri sana
angalia picha zake mkuu nimeweka, hazina visindano, ila functions the sameHOW?? NI ZILE KAMA ZA KWENYE MUVI YAANI INA VISINDANO NA WAYA AU ZILE HADI UMGUSE MHUSIKA??View attachment 895258View attachment 895259
bahati mbaya mhusika anaishi mbali sana na makazi yake, pia hatuna ukaribu, najiongeza mwenyeweHiyo safi sana.. ameipata wapi na kwa Tsh ngapi? Inakera sana una acha mambo yako kwenda kufungua gate unakutana na mtu anakwambia anauza chupa za chai!
Hapana, unaweza kumonitor kiwango cha shoti unayompigaVipi kea watu wenye BP haiwezi leta madhara ya mshtuko na kuoelekea kifo labda??
Zitakuwepo nyingi ila tatizo uimara, isije kikabuma baada ya masika! ngoja na mimi nizifuatilie..bahati mbaya mhusika anaishi mbali sana na makazi yake, pia hatuna ukaribu, najiongeza mwenyewe
View attachment 895264