Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Huo ndiyo wizi wenyewe ,bei poa ndiyo ngapi? Na kwanini mtu alipe kwanza? Hamna wakala?BEI NI POA SANA NA POPOTE UTATUMIWA BAADA TU YA KULIPIA.
Nyinyi makada wa ccm kila kitu mnataka kuleta siasa. Sasa hiyo bei poa ndiyo shilingi ngapi?KWANINI UTUMIE JIKO HILI LA MKAA KIDOGO
1. JIKO LA KUPENDEZA KWENYE NYUMBA YAKO LIMEUNDWA KATIKA UMBO LA KUPENDEZA NA MALIGHAFI ZILIZOUNDA JIKO NI ZA MITHIRI YA SILVA HIVYO LINAKUPA UNADHIFU
2. LINATUMIA MKAA KIDOGO MNO, LINAPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 80.
3. HALIPATI JOTO KWA NJE, LINA MATERIOUS AMBAYO INAKUSHANYA JOTO KATIKA ENEO AMBALO SUFURIA ITAKAA TU, HIVYO HALIONGEZI JOTO MAGETONI.
4. SABABU NI NYINGI SANA ILA SABABU KUBWA ZAIDI NI KWAMBA JIKO LINAUZWA NA RAFIKI YAKO Comrade Ally Maftah, BEI NI POA SANA NA POPOTE UTATUMIWA BAADA TU YA KULIPIA.
MAWASILIANO
0762212623
0785670227
0768366911
info@camstore.co.tz
camstoretz@gmail.com
allymaftah@camstore.co.tz
allyrmaftah@gmail.com
www.camstore.co.tz.
UKITUMA EMALI CC IMAIL ADDRES ZOTE.
KARIBUNI INBOX KUJUA BEIView attachment 2898947i
400, 000 jiko tu? Mbona unauza bei sana?
Nimekutumia message inboxNahitaji majiko 2, tar 25 Feb nicheki inbox plz
Ungeweka namba ya simu pia.Nimekutumia message inbox
Tusisahau kuhamasisha upandaji wa miti kukabiliana na uharibifu wa mazingira ambao hivi sasa unashika kasi.KWANINI UTUMIE JIKO HILI LA MKAA KIDOGO
1. JIKO LA KUPENDEZA KWENYE NYUMBA YAKO LIMEUNDWA KATIKA UMBO LA KUPENDEZA NA MALIGHAFI ZILIZOUNDA JIKO NI ZA MITHIRI YA SILVA HIVYO LINAKUPA UNADHIFU
2. LINATUMIA MKAA KIDOGO MNO, LINAPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 80.
3. HALIPATI JOTO KWA NJE, LINA MATERIOUS AMBAYO INAKUSHANYA JOTO KATIKA ENEO AMBALO SUFURIA ITAKAA TU, HIVYO HALIONGEZI JOTO MAGETONI.
4. SABABU NI NYINGI SANA ILA SABABU KUBWA ZAIDI NI KWAMBA JIKO LINAUZWA NA RAFIKI YAKO Comrade Ally Maftah, BEI NI POA SANA NA POPOTE UTATUMIWA BAADA TU YA KULIPIA.
Nimekutumia message inbox
Ungeweka namba ya simu pia.
+255717435776Same here nichek inbox na kama
Una product za majiko ya kuchoma
Nyama pia nichek