Jiandae kwa interview ya jeshi la polisi

frankchelsea

Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
44
Reaction score
3
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu walioorodheshwa hapa chini wa vyuo vya Elimu ya Juu na vya Ufundi Stadi.
Usaili utafanyika kuanzia tarehe 11/11/2003 hadi tarehe 15/11/2013 saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni kila siku kwa taaluma na maeneo yafuatayo;

  • Fani za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala, Uchumi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji(BaLe), Ualimu, Sosholojia, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Sheria, Takwimu, Lugha, Uhusiano wa Kimataifa, Uandishi wa habari na Mawasiliano ya Umma, Maendeleo ya Jamii, Ukutubi na Utunzaji Kumbukumbu. Usaili wa fani hizi utafanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam(DPA) kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam .
  • Fani ya Udereva ,Ufundi rangi za magari(spray and Painting /Panel Beating ), Ufundi wa matengenezo ya Magari Makubwa(Auto-Mechanics-Heavy Duty) na Ufundi wa Matengenezo ya Umeme wa Magari(Auto Elecrical ). Usaili wa fani hizi utafanyika Kikosi cha Polisi Ufundi kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.
  • Fani za Kompyuta. Usaili wao utafanyika nyuma ya kikosi cha Ufundi yaani TEHAMA KEKO chini.
  • Fani ya Uhandisi Mitambo(Mechanical Engineering ). Usaili wao utafanyika Kikosi chaPolisi Anga kilichopo Uwanja wa Ndege JK Nyerere DSM.
  • Waataalam wa masuala ya Afya/Wauguzi usaili wao utafanyika katika kikosi cha afyakilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.
  • Orodha ya majina inapatikana pia katika Gazeti la habari Leo la tarehe 04/11/2013.
Muhimu:

  1. (i)Mwombaji afike kwenyeakiwa na nakala halisi pamoja na kivuli cha vyeti vyote vya masomo/Taaluma [Academic Transcript (s)/Certificate(s)]yaani kidato cha nne, sita ,Chuo na cheti cha kuzaliwa. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.

  1. (ii)Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atalipia gharamaupimaji afya shilingi elfu kumi(10,000), usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili.
(iii)Kwa kuwa muda ni mchache anaekuja kwa usaili ajiandae baada ya usaili atakaechaguliwa atapelekwa katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi siku nne baada ya usaili kwisha yaani tarehe 19/11/2013.
Orodha ni kama ifuatavyo;


BOFYA HAPO CHINI UDOWNLOAD MAJINA

ORODHA YA GRADUATE,DIPLOMA NA MAFUNDI WALIOCHAGULIWA KWENYE USAHILI 2013


SOURCE: Tanzania Police Force

 
[h=3]tangazo la kuitwa kwenye usaili[/h]

s/na jina jinsi fani
1 loveness e. Uronu f community development gender &children certificate
2 alexia a/khihatura f community development gender &children certificate
3 aisha a/mshana f commu
 
Mambo ya upolisi ni yanahusiana vp na matongazo yakibiashara? Embu kueni makini basi
 
BAASI NA SIFA NYINGINE UWE MKATILI NA UKIULIZWA MISION YA POLISI NI NINI?JIBU PIGA TUU...KILA KITU WE JIBU PIGA TUU SIJUI NINI NANI NI NA NINI NA NINI WE JIBU PIGA TUU ahaha ha ha interview nyingine rahisi sana...jus onyesha sua ya ukakamavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…