JF Party On My Mind

Ha ha ha
kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.
Haaaahaaaaa....mtoto mwenyewe mkaree unaogopa nini?

Tuache sisi wenye sura za baba zetu tuogope
 
Ha ha ha
kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.
mi yalinikutaaa achaaa!bony akanishtua wasap halafu picha mbayaaaa!!!chunusiii...
nilijutaa..kutoka haitoki karibu dkk 10 sina hamu atiii
 
Nakumbuka niliona comment yako kuhusu hii issue ha ha ha kwanza wanatoaje yasije nikuta siku nikakimbia ID bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…