Hii misosi mbona nimeitamani ghafla[emoji36] [emoji36]Wooow!! Nimefurahi kusikia kuna wazo la kulaunch party ya namna hii... We only live once..let's gooooo guys!
Party, drinks and foods zinaenda pamoja kama Shehe na ubwabwa vile.. Personally huwa naamini food is the another way of celebrating life na kwa vile Nina background ya culinary and Italian cuisine from one of the very prestigious university in the world.. I promise kama nitahudhuria hiyo party nitawaandalia na nitawapikia food moja murua na matata sana inaitwa "Carbonara" ni Italian cuisine hii, dish hii iko deceptively simple but with classy, yaani ingredients zake baadhi ni spaghetti, eggs, pecorino cheese, cured guanciale, and black pepper, najua nikiwatolea good version ya hii menu trust me I will make your day and the party will be forever remembered.
Hapo sijazungumzia Lasagna na Ribbolita these are heart food from Italy ninazomudu kuzitoa catalogue zake kwa uzuri wa kutosha tu. Ndio maana hadi kuna member humu namuonaga anajiita Beef Lasagna atakuwa anaujua utamu wa lasagna from Italy.
Zote hizi nitawapikia bure bila gharama zozote. Trust me we gonna have a party of a lifetime. Hoja imepita nadhani muhimu ni kila mmoja kuvolunter kwenye section anayoimudu... Tutengeneze once in a lifetime event. JF get together party.
N;B Nimeweka na picture za kazi zangu za upishi casual wa nyumbani tu for more clarification.View attachment 862361View attachment 862362
Robertson wine...penasor white andMi nikiendaga sehemu hakuna freixenet, Robertson mbadala unakuwa hizo savanna na nikianza sitaki ninywe tena tofauti na hiyo! Haya mapombe inabidi uwe mjanja kucheza nayo! La sivyo yatakuaibisha tuu!
Ewaaa eti bapaaa[emoji24] [emoji24]Ha ha ha mwingine konyagi.
Beach house kigamboni zipo nyingi, sema tu umbali.Kutupikia ingependeza tupate beach house tukapike huko. Tukikodi eneo kama escape one tutakosa huu utamu mkuu
Nadhani muhimu tupate privacy ya kutosha na place ya kufanya mambo yetu kwa Uhuru na space.. Then na Mimi nipate space ya kufanya sanaa zangu kwenye food catalogue arena.Kutupikia ingependeza tupate beach house tukapike huko. Tukikodi eneo kama escape one tutakosa huu utamu mkuu
Ndo kiwango hicho kwa mdada!..tatizo mi sizipendi coz hazinipi mzuka kama wa wine waaaiiiiHuwa sizidishi nne, nikifika hapo maji yananihusu
Huyu Chef fanya awepo ili atukarangizeMi nimesikia njaa kabisa
Penasor mkuu? ...chungu hiyooRobertson wine...penasor white and
blue caracao thats ma things
Tunaweza andaa usafiri. Hela si itachangwa bwana. Huko huko tunatoa na ya usafiri. Watu wanakuja mpaka feri wakivuka upande wa pili kunakua na coaster ya kuwaletea eneo la tukio.Beach house kigamboni zipo nyingi, sema tu umbali.
Beach house basi iwe na sio sehemu kma escape one ili tupate nafasi zaidi. Hata vinywaji na msosi vitakua vingi maana tutapika wenyewe labda na mpishi mwingine mwenye jikoNadhani muhimu tupate privacy ya kutosha na place ya kufanya mambo yetu kwa Uhuru na space.. Then na Mimi nipate space ya kufanya sanaa zangu kwenye food catalogue arena.
Ndiyo uendelee kutumia hizo wine, huku utuachie sisi[emoji3]Ndo kiwango hicho kwa mdada!..tatizo mi sizipendi coz hazinipi mzuka kama wa wine waaaiiii
I'm sorry to say this "we ni mama wa magambee"Penasol nimezoea ya box tu. Nilikaaga na ule mbox wa litre 5. yakawa kama maji yangu ya kunywa
Umenikumbusha tulifanya beach house moja na mtoto wa kigogo ,kigamboniBeach house kigamboni zipo nyingi, sema tu umbali.
Nipe tuu
Kuna sehemu kama packchonjo ni pazuri , na maeneo ya karibu na hapo kuna beach house zingine...wanaruhusu mnapika..mnaenda na vinywaji...na wahudumu wapo...ila ni mbaliiiTunaweza andaa usafiri. Hela si itachangwa bwana. Huko huko tunatoa na ya usafiri. Watu wanakuja mpaka feri wakivuka upande wa pili kunakua na coaster ya kuwaletea eneo la tukio.