Mkuu leo nimekukubali sana kongoleumetumwa??? Siku unaenda kwenye hayo makutano unakutana na baba yako au mtu anayekudai itakua nuksi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na sisi wa mikoani tuandae yetuDar mna raha
hahaahahaha,[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na sisi wa mikoani tuandae yetu
Hahahaaanitakaa siti ya mbele 😀😀😀
Acha woga. Mbao za Mawe utamwacha jf wewe utakuja kama wewNitapigwa, maana kuna watu humu nishavurugana nao wakijua huyu ndiye Mbao za Mawe hakika naweza kufa ukumbini kwa kipigo.
Mnihakikishie ulinzi wangu kwanza.
Sawa Pangeni siku mnipe taarifa.Acha woga. Mbao za Mawe utamwacha jf wewe utakuja kama wew
Walioandaa zilizopita washabwaga manyanga. Kazi kwenu sasa kizazi kipya jipangeni muandae,hamna ugumu wowote ni muda tu.Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Sawa utapewa taarifaSawa Pangeni siku mnipe taarifa.
Unaweza kuwa wazi nijue una maana gani?Usilete mambo ya whatsapp humu, jf mjumuiko wa watu ndani ya nchi na nje ya nchi