JF jeshi kubwa la mtandaoni

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
208
Reaction score
78
wakati ni sasa, muda ndio huu pelekeni elimu ya uraia.kwa watanzania.

Ya kwamba tunataka majibu stahiki toka kwa watawala wa kiimla na chama cha kiimla kisichopenda kuambiwa ukweli.

ya kwamba,yatosha kutembeza bakuli.kwa wakubwa wa ulaya.utitiri wa mali asili gas ,mafuta,madini ,uran.mbuga za wanyama zatosha kutufanya tuishi tofauti na mataifa yanayotuzunguka.

Amkeni.watawala tuambieni jinsi tembo wetu wanavyokufa mbugani. Eeeh enyi watawala wakiimla mnao miliki meli twambieni ,lini mlianza kutorosha mali asili zetu,watawala,twambieni ,wale twiga wetu wangali hai au la maana ndio nembo ya taifa letu. Kama wamekufa rudisheni ngozi zao nchini. ati mji wa Karachi uliomba tembo wetu, enyi watu nyie mlipewa nini ? ati suti. shame upon you.mmeuza ardh yenye rutuba.kwa wakoloni.tukipata uhuru wa pili wa kulinda mali asili zetu tutawatafuta wote.hata kama mtakuwa na umri wa miaka 90. mtasimama kizimbani kujibu.tuhuma.mnakanyaga demokras kuwafitinisha Watanzania. kwa hoja dhaifu.ndg zangu wana jf.tuwaelimishe wa tz kule walipo wamkatae yule anayetukwamisha CCM.
 
Nawasihi watanzania,wazalendo wenzangu,kila mmoja afanye kazi hii ya kuwaelimisha wananchi juu ya kila ufedhuli unaofanywa na ccm,ni haki ya kila mtanzania kufaidi rasilimali tulizopewa bure na Mungu ambazo bila huruma wanagawana wachache.Mungu atuepushe na hawa mashetani wabaya "ccm"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…