Mke wake sandi Jackson amemtosa mume wake baada ya kugundua alikuwa anamtumia tu.mke wake akawaita FBI na kuwaonyesha evidence zote .Hali mbaya sana kwa Jesse Jackson Jr .Jesse Jackson ameshafanya deal lakini atakuwa jela for a long time .kaka zangu wa jamii forum muwe waangalifu na wanawake Kama Hawa .mtaharibiwa maisha bure kwa tamaa Za sisi wakina dada .[/QU
Umeweka kichwa cha habari tu halafu habari yenyewe umejiwekea mwenyewe????????????
Na alimnunulia kimada saa ya 40,000 dollars .very sad lakini liberal media kimyaaaaMke wake sandi Jackson amemtosa mume wake baada ya kugundua alikuwa anamtumia tu.mke wake akawaita FBI na kuwaonyesha evidence zote .Hali mbaya sana kwa Jesse Jackson Jr .Jesse Jackson ameshafanya deal lakini atakuwa jela for a long time .kaka zangu wa jamii forum muwe waangalifu na wanawake Kama Hawa .mtaharibiwa maisha bure kwa tamaa Za sisi wakina dada .[/QU
Umeweka kichwa cha habari tu halafu habari yenyewe umejiwekea mwenyewe????????????
Stormy snow VipiIn this Oct. 16, 2011 file photo, former U.S. Rep. Jesse Jackson, Jr. is seen during the dedication of the Martin Luther King Jr. Memorial in Washington. Jackson has reportedly signed a plea deal that includes a possible jail sentence. (AP Photo/Charles Dharapak, File)
Former U.S. Rep. Jesse Jackson Jr. has reportedly signed a deal in recent days that includes his pleading guilty to misusing his campaign funds and ultimately leaves the matter of a possible jail sentence up to a judge.
NBC Chicago reports that Jackson would have to repay the government "hundreds of thousands" of dollars for campaign funds that he spent on personal items -- such as a $40,000 Rolex watch he purchased for a female "social acquaintance" -- as part of the deal.
According to CBS Chicago, Jackson could be facing a punishment ranging anywhere from probation to a five-year prison sentence. The severity of the punishment will reportedly be decided by a federal judge who has not yet been named.
Reports emerged late Wednesday that the disgraced former congressman was working on a plea deal that would "definitely" include "significant" jail time. This week also brought news that federal investigators are looking into the campaign finances of Jackson's wife, former Chicago Alderman Sandi Jackson in a separate probe.
A source told the Chicago Sun-Times this week that they felt that Sandi "feels like she was thrown under the bus by her husband" now that the feds are looking into her activities. Jackson's plea deal, according to CBS, includes an acknowledgment that Sandi was aware of the improper campaign fund usage.
Sandi Jackson, who represented Chicago's 7th Ward, abruptly resigned from her post last month despite previous denials that she was quitting the City Council.
This is a developing story.
Jesse Jackson Jr. Jail Time To Be Decided By Judge As Ex-Illinois Congressman Signs Plea Deal
Stormy snow Vipi
poor him! what a disgrace for the name Jesse Jackson
Archetypical male chauvinism, mtu kaharibu mwenyewe unasema wanaume wasichague wanawake kama hawa, tatizo linakuwa mwanamke. Wanawake kama wewe wenye infinitesimal self-estem mara nyingi huishia ku short sell their stock. I am apoplectic!kaka zangu wa jamii forum muwe waangalifu na wanawake Kama Hawa .mtaharibiwa maisha bure kwa tamaa Za sisi wakina dada .
Archetypical male chauvinism, mtu kaharibu mwenyewe unasema wanaume wasichague wanawake kama hawa, tatizo linakuwa mwanamke. Wanawake kama wewe wenye infinitesimal self-estem mara nyingi huishia ku short sell their stock. I am apoplectic!
A source told the Chicago Sun-Times this week that they they felt that Sandi "feels like she was thrown under the bus by her husband" now that the feds are looking into her activities. Jackson's plea deal, according to CBS, includes an acknowledgment that Sandi was aware of the improper campaign fund usage.
Kwa hiyo, kwanza umetupeleka peleka bila substantiation, taarifa zinasema jamaa alivyobanwa mbavu ndio akasema demu wangu pia alikua anajua mchongo wote! Sasa snitch aliyemsaliti mwenzie ni nani hapo kama si Jackson? We vipi Natalia, usituletee fikra za mifumo dume ya Kiafrika na kutuburuza na stori unsubstantiated.