ndio inaweza kuwasha vitu vya ndani kwa wakati moja inategemea vifaa vyako vinakula umeme wa kiasi gani.Inaweza kuwasha vifaa vyote ulibyotaja kwa wakati mmoja?
nimekujibu kwenye pm yako.Mkuu hamna ndogo zenye uwezo wakuwasha tv receiver redio na taa kama 5 hivi?