Jenerali Ulimwengu: It takes More Than a Gun to Kill a Man

Kutoka kwa Mr Ulimwengu;

"The man they shot is the first among the young breed of lawyers to have raised their voices against the despoliation of this country’s natural resources, long before anyone else (the late bloomers) even thought of thinking about the issues involved.

We must never allow them to rewrite history where it suits them. We must be bold enough to tell them that we remember that the man who led that struggle is the man they shot in Dodoma, and his name is Tundu Antipas Lissu."
Mwisho.

Muhimu sana Vijana wa Lumumba kujifunza khs history za wanasiasa ktk Nchi yetu.

Leo baadhi ya Vijana walio wengi humtusi Hon TL,
Awamu ya 3 wanamfahamu vzr.
 
yaani hapa nimemkubari ulimwengu

Waongo wana tudanganya eti wazalendo.

Waliempiga risasi ndo mzalendo wa kwanza aliye tetea madini kabla hata ya wawo kuja kwenye siasa
Tusi ruhusu watudanganye kwa kweli na kujifanya wanatetea maslahi ya taifa kumbe waongo na wanapindisha ukweli

It is mind-boggling to think that these are the same people, but they are. Their behaviour speaks to the hypocrisy of our lives, but it is one factor that we should always keep at the forefront of our minds. These are liars, and they have been lying to us all along.

The man they shot is the first among the young breed of lawyers to have raised their voices against the despoliation of this country’s natural resources, long before anyone else (the late bloomers) even thought of thinking about the issues involved.

We must never allow them to rewrite history where it suits them. We must be bold enough to tell them that we remember that the man who led that struggle is the man they shot in Dodoma, and his name is Tundu Antipas Lissu.
 
Ulimwengu ni Mnyarwanda pia, hivi kwa nini Watanzania wanajiona inferior dhidi ya Wanyarwanda nilishauliza hilo swali lkn sipati jibu la maana zaidi ya matusi na kejeli?
 
Juhudi za msaliti Lisu zinakwama wapi?

Ndiyo kwanza wazungu wanazidi kumiminika Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kilaza kweli kweli yaani bila wazungu hatuishi na wazungu wasipokuwepo basi hiki kizazi cha watu weusi ndo kitakuwa ndo mwisho wake pia na dunia kwa ujumla wake,kutokujitambua ndiyo tatizo la watu wenye akili fupi kama ww, GOD IN HEAVEN!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba wataelewa kweli , Lumumba njooni mchangie ia msisahau Mzee wa true ,false balozi masilingi katimuliwa ,si mlikuwa mnamtetea kufanya vizuri kwenye interview straight talk mbona mmemtimua .
 
Nimeoteshwa kiinglishi kinaandaliwa muswada wa kupigwa marufuku ndani na nje ili kukuza matumizi ya lugha ya Taifa. 😆😆😆

Haitashangaza kwani kule Rwanda baada ya mapinduzi ya 1994 wale wapiganaji wa RPF walitokea nje ya nchi na walikuwa wazungumzaji wa Kiingereza wakati nchi yao ni ya Kifaransa. Walifanya Kiingereza iwe mojawapo ya lugha rasmi za nchi hiyo!
 
Yani ni rahisi sana kujua waliotaka kummaliza Dr.Lissu kwani ndio hao waliotaka apelekwe muhimbili,ndio hao hao waliomnyima hela ya matibabu na sasa wanataka kumnyima na mshahara......
 
Generali Ulimwengu kwani ule uraia wake umekamilika? Asianze kumchezea sharubu simba, atajikuta amerudishwa kwao.. Oooh ooh..!! 💣👣🕵
 
Na Jiwe nae mtamrudisha?


Ha haaaaa...!! Mie najua ni mzawa halisi..!! Ila Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, mkianza kubaguana kwa ukabila, mtaanza udini, kisha ukanda, sasa itaanza uraia..

Haaa.. Ulimwengu awe makini na uraia wake, tutamchunguza upya sasa hv.. Mara utasikia ni mrwanda..!!
 

Mtu kama huyu mwenye kujenga hoja kama hizi, usitegemee akakaa meza moja na wana Lumumba....

Hakika watasema wewe siyo raia wa Tanzania bali ni M - scottish ama Mu - English...!!

Na Tundu Lissu ni kwa vile tu anatokea katikati kabisa ya Tanzania. Lakini maCCM usishangae wakasema yeye ni Mu - Iraq kutoka Ethiopia ama Sudan ya Kusini...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…