Je Ze Komedi imenunuliwa na Mafisadiz?


kama una maanisha unachotetea then leta hoja with evidence...una haki ya kutoa maoni/fikra zako
 
Waacheni na wao wafaidi fweza za mafisadi kule kwa Mengi walikuwa wanabaniwa walikuwa wanakula vilaki laki saizi ni mamilioni kwa kurudi nyuma.....
 
Hawa wasanii wa the Comedy nawachukulia kama watu wengineo wowote wanaotafuta maisha ... inawezekana walitufurahisha sana walipokua wanawashambulia mafisadi wakiwa kule eatv ... na inawezekana wasitufurahishe wakiwa tbc1 ... ila wao wameona inalipa (kifedha) wakiwa tbc1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…