TANGAZO LA BIASHARA
Unauza Viatu au Una Dukayaani? TWIGA ni Bidhaa Unayohitaji!
Tunawakaribisha wauzaji wa rejareja wenye maduka ya viatu, au maduka ya jumla kununua kwa bei rafiki bidhaa yetu maarufu ya TWIGA – Dawa ya kung’arisha viatu (nyeusi).
Faida za Bidhaa Yetu:
Inang’arisha viatu haraka na kwa ubora wa hali ya juu
Inauzika kwa urahisi – wateja huirudia
Bei ya jumla ni rafiki, faida nzuri kwa kila chupa
Bidhaa inakubalika sokoni
Ikiwa una duka na ungependa kuongeza bidhaa bora inayotoka haraka, TWIGA ndiyo suluhisho!
Wasiliana nasi kwa oda:
📞 0765764172
📍tupo kinyerezi