Je wajua?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Kwamba Konokono wote ni jamii ya "HERMAPHRODITES"
Namaanisha kuwa wana own both gender , Male & Female .

Is an organism that has reproductive organs , normally associated with both Male & Female.

Ktk kujamiiana kanuni ni kulana timing , atakaebugi step kwa doro flani , ama kajiachia mikao ya kihasara anakwewa ! (pandwa) na ndiye atakaetaga mayai. (in a certain period)

Fikiria Binadamu tungeumbwa na formula hii !
Na hizi akili zetu ! Ingekua vipi ?
Tungetembeleana kweli ?
Mkeo ukimzingua anakulia vaku nite kali kidume uko mikoromoni , anakutundika mimba !

Najaribu kupiga picha , mathalan ungekuta wkt flani mijanadume kama 60 hivi ya Jf mijamizito! Ishatundikwa!
Sure shughuli ingekua pevu .

Muumba aliliona hilo mapema akatupa formula tuliyonayo.

K w a h e r i n i .
 
mbona hata sasa hivi kuna mijianaume ina mimba zisitarajiwa 'vitambi'...(hapa najua kuna raia watanikata jicho kali)
 
hata fisi mkuu wana jinsia zote
 
mungu katuumba vyema, lakini kuna mijanaume mingine inapandwa....au hujui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…