johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,980
Zitto aliwahi kusimamishwa ubunge kufuatia kukataa kuomba msamaha baada ya bunge kudai taarifa aliyoiwasilisha bungeni kuhusiana na kashfa ya Buzwagi haikuwa na ukweli.
Wabunge wa upinzani kwa umoja wao walidai Zitto kaonewa na hivyo kuazimia kumvhangia posho ya kukaa kwa muda wote atakaokuwa kifungoni na walifanya hivyo.
Sasa kuna huyu mbunge wa Chadema Nassari anayedai bunge limemfanyia dhuluma, je wabunge wenzake hawawezi kumhurumia na kumchangia posho na mshahara hadi 2020 uchaguzi mkuu utakapoitishwa?
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Mawazo yako siyo ya kibunge!Ile vote 20 imeshamlipa, yeye aende akaunge mkono juhudi vizuri. Hamna mtu anajali uwepo ndani ya cdm. Sasa hivi tunajiwakilisha wenyewe kwenye social media.
Mawazo yake ni mazuri sana,kwani alichokifanya nasari kinafahamika.Mawazo yako siyo ya kibunge!
Kwahiyo ni kweli Nassari hakuhudhuria bungeni kwa miezi 9 !fululizo?Mawazo yake ni mazuri sana,kwani alichokifanya nasari kinafahamika.
Hivyo mliepanga nae mpango huu ili ionekane amefutwa,bado mnatengeneza sababu ili ionekane ametelekezwa na bunge wenzake wa upinzani awe na sababu ya kuhamia ccm.
Alafu mayalla anakuja na thread humu eti jarida ya economist lina mchafua Rais na nchi yetu!!!! Shame.
Ccm fahamuni kwamba watanzania siyo mazuzu kama zamani,kila mnachofanya kikao peupe kinajulikana.
Mnafanikiwa kutufanya mazuzu kabla ya uchaguzi,lakini baada ya hapo ufahamu zetu zinarudi na kutuonyesha kuwa tumekosea kuwapa nchi.
Hongera yenu toka kwangu,kila Mungu ataamua
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unatuuliza humu JF siungeenda kuwauliza kwenye Majimbo yao mkuu?Zitto aliwahi kusimamishwa ubunge kufuatia kukataa kuomba msamaha baada ya bunge kudai taarifa aliyoiwasilisha bungeni kuhusiana na kashfa ya Buzwagi haikuwa na ukweli.
Wabunge wa upinzani kwa umoja wao walidai Zitto kaonewa na hivyo kuazimia kumvhangia posho ya kukaa kwa muda wote atakaokuwa kifungoni na walifanya hivyo.
Sasa kuna huyu mbunge wa Chadema Nassari anayedai bunge limemfanyia dhuluma, je wabunge wenzake hawawezi kumhurumia na kumchangia posho na mshahara hadi 2020 uchaguzi mkuu utakapoitishwa?
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Kwani amevuliwa ubunge au amesimamishwa? Waheshimiwa hawana chama cha wafanyakazi vile?Zitto aliwahi kusimamishwa ubunge kufuatia kukataa kuomba msamaha baada ya bunge kudai taarifa aliyoiwasilisha bungeni kuhusiana na kashfa ya Buzwagi haikuwa na ukweli.
Wabunge wa upinzani kwa umoja wao walidai Zitto kaonewa na hivyo kuazimia kumvhangia posho ya kukaa kwa muda wote atakaokuwa kifungoni na walifanya hivyo.
Sasa kuna huyu mbunge wa Chadema Nassari anayedai bunge limemfanyia dhuluma, je wabunge wenzake hawawezi kumhurumia na kumchangia posho na mshahara hadi 2020 uchaguzi mkuu utakapoitishwa?
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hivyo wewe unampinga hata LisuMawazo yake ni mazuri sana,kwani alichokifanya nasari kinafahamika.
Hivyo mliepanga nae mpango huu ili ionekane amefutwa,bado mnatengeneza sababu ili ionekane ametelekezwa na bunge wenzake wa upinzani awe na sababu ya kuhamia ccm.
Alafu mayalla anakuja na thread humu eti jarida ya economist lina mchafua Rais na nchi yetu!!!! Shame.
Ccm fahamuni kwamba watanzania siyo mazuzu kama zamani,kila mnachofanya kikao peupe kinajulikana.
Mnafanikiwa kutufanya mazuzu kabla ya uchaguzi,lakini baada ya hapo ufahamu zetu zinarudi na kutuonyesha kuwa tumekosea kuwapa nchi.
Hongera yenu toka kwangu,kila Mungu ataamua
Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu mlio nao ccm wekeza akili zenu zote na mioyo yenu kwa mtu mmoja.
hivi Muzhiri Muzhiri yuko wapi?Zitto aliwahi kusimamishwa ubunge kufuatia kukataa kuomba msamaha baada ya bunge kudai taarifa aliyoiwasilisha bungeni kuhusiana na kashfa ya Buzwagi haikuwa na ukweli.
Wabunge wa upinzani kwa umoja wao walidai Zitto kaonewa na hivyo kuazimia kumvhangia posho ya kukaa kwa muda wote atakaokuwa kifungoni na walifanya hivyo.
Sasa kuna huyu mbunge wa Chadema Nassari anayedai bunge limemfanyia dhuluma, je wabunge wenzake hawawezi kumhurumia na kumchangia posho na mshahara hadi 2020 uchaguzi mkuu utakapoitishwa?
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Tuone uzalendo wao wa magumashiZitto aliwahi kusimamishwa ubunge kufuatia kukataa kuomba msamaha baada ya bunge kudai taarifa aliyoiwasilisha bungeni kuhusiana na kashfa ya Buzwagi haikuwa na ukweli.
Wabunge wa upinzani kwa umoja wao walidai Zitto kaonewa na hivyo kuazimia kumvhangia posho ya kukaa kwa muda wote atakaokuwa kifungoni na walifanya hivyo.
Sasa kuna huyu mbunge wa Chadema Nassari anayedai bunge limemfanyia dhuluma, je wabunge wenzake hawawezi kumhurumia na kumchangia posho na mshahara hadi 2020 uchaguzi mkuu utakapoitishwa?
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Yupo Lindi, juzikati hapa aliibuka!