johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,853
Zitto aliwahi kusimamishwa ubunge kufuatia kukataa kuomba msamaha baada ya bunge kudai taarifa aliyoiwasilisha bungeni kuhusiana na kashfa ya Buzwagi haikuwa na ukweli.
Wabunge wa upinzani kwa umoja wao walidai Zitto kaonewa na hivyo kuazimia kumvhangia posho ya kukaa kwa muda wote atakaokuwa kifungoni na walifanya hivyo.
Sasa kuna huyu mbunge wa Chadema Nassari anayedai bunge limemfanyia dhuluma, je wabunge wenzake hawawezi kumhurumia na kumchangia posho na mshahara hadi 2020 uchaguzi mkuu utakapoitishwa?
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!