Je, ungependa?

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,632
Reaction score
8,452
Hili ni swali la kujiuliza mara nyingi uwezavyo.
Je, utakua tayari mwanao aoe mwanamke mwenye tabia kama zako?
Au ungependa mwanao aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?

Jibu baki nalo mwenyewe.
Nimemaliza
 
Hapana
 
Ni kwamba unatamani umuoe au uolewe na mwanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…