Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Feb 21, 2017 #1 I secure technology tuna fanya installation ya Gps tracker,Cctv cameras,Intruder alarm pamoja Electric fence. Wasiliana nasi; +255 626 824 743 isecuretechnology@yahoo.com www.isecure.co.tz
I secure technology tuna fanya installation ya Gps tracker,Cctv cameras,Intruder alarm pamoja Electric fence. Wasiliana nasi; +255 626 824 743 isecuretechnology@yahoo.com www.isecure.co.tz
Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Feb 21, 2017 Thread starter #2
vipik2 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,853 Reaction score 2,272 Feb 21, 2017 #3 GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu?
Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Feb 21, 2017 Thread starter #4 vipik2 said: GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu? Click to expand... vipik2 said: GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu? Click to expand... Mkuu installastion ya gari moja ni laki tatu tu na malipo ya tracking system ni 20000 kwa mwezi ila mteja atachagua kulipa kwa mwezi au miezi mitatu na kuendelea.
vipik2 said: GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu? Click to expand... vipik2 said: GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu? Click to expand... Mkuu installastion ya gari moja ni laki tatu tu na malipo ya tracking system ni 20000 kwa mwezi ila mteja atachagua kulipa kwa mwezi au miezi mitatu na kuendelea.
Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Feb 21, 2017 Thread starter #5 vipik2 said: GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu? Click to expand... trackerR ndo hizo tunazofunga mkuu ww unataka kuweka kwenye nini?
vipik2 said: GPS Tracker ya kwenye gari mnaweka kwa Tsh ngapi ? Je mnayo kitu mpya inaitwa trackerR Dukani kwenu? Click to expand... trackerR ndo hizo tunazofunga mkuu ww unataka kuweka kwenye nini?
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,599 Feb 21, 2017 #6 Mimi nafunga kifaa kama hicho na nakuachia kila kitu na kwa hiyo unaweza kutrack mwenyewe na hakuna malipo kwa mwezi kwa jumla ya sh 300,000/=
Mimi nafunga kifaa kama hicho na nakuachia kila kitu na kwa hiyo unaweza kutrack mwenyewe na hakuna malipo kwa mwezi kwa jumla ya sh 300,000/=
Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Feb 21, 2017 Thread starter #7 rushanju said: Mimi nafunga kifaa kama hicho na nakuachia kila kitu na kwa hiyo unaweza kutrack mwenyewe na hakuna malipo kwa mwezi kwa jumla ya sh 300,000/= Click to expand... Mkuu wewe itakua unauza tu hizo device na sio kingine. Halafu kama una tangazo ni bora uanzishe thread yako.
rushanju said: Mimi nafunga kifaa kama hicho na nakuachia kila kitu na kwa hiyo unaweza kutrack mwenyewe na hakuna malipo kwa mwezi kwa jumla ya sh 300,000/= Click to expand... Mkuu wewe itakua unauza tu hizo device na sio kingine. Halafu kama una tangazo ni bora uanzishe thread yako.