Je umewahi kuitumia hii....?!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Natumia simu SAMSUNG CHAT GT-E2222 (DUOS)
tatizo kila app ninayodownload inakataa ku install japo nikidownload music na video zinakubali..
tatizo imegoma ku install opera min hata nikidownload games pia inagoma kuinstall inaandika
downloaded jar are invalid
naomba msaada wenu...
natanguliza shukrani.......!!!!
 
Eh ndo matatizo ya hzo cm mi mwenyewe, mpaka nikauza, yan ukifuta tu operamini iliyo kuwepo, ku install nyingne utakesha mpaka utalia!
Kuna moja nili download ika geuka juu chn chn juu!!
Yan dah
 
Hiyo Samsung ch@t222 siyo simu kabisa.
Tafuta nyingine.
 
Yaani kwa hiyo simu fanya trial and error. Tumia computer kuDownload Apps kutoka wenye website mbalimbali especial 91mobiles halafu unaziingiza kwenye simu kwa cable au b.tooth ndio uInstall. Hiyo simu,pasua kichwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…