Tatizo baadhi ya watu wanazani bila maneno matamu kuwaeleza wananchi hawawezi kuchaguliwa!!!!!!!?
Nakumbuka kipindi unafunga kampeni pale (CCM KIRUMBA MWANZA)Ulilalamikia utozwaji wa ushuru kwa wajasiria mali wadogo tena ukidai utakapopewa zamana utahakikisha mjasiria mdogo habuguziwi kwa kulipa ushuru wenye kumgandamiza kiuchumi.
????huyu anaekatisha ushuru wa vitambulisho kwa Tsh 20000 kwa hao wajasiria mali wadogo ulio watetea pale CCM KIRUMBA ninani namlaka kapata wapi mbona moyo wa chama(ILANI) imetoa muongozo mzuri wa kujenga mfumo mzuri wa hawa watanzania duni waishio chini ya (DOLA MOJA)kupewa miongozo mizuri ya utendaji kazi wao bila kuvunja sheria na taratibu za nchi?...;