Je, Thinner inafaa kutengenezea sanitizer?

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
2,147
Reaction score
4,296
Habari za asubuhi wana bodi, kuna ishu inaniumiza sana kichwa kuhusu utofauti wa thinner na spirit hii ya hospitali? Nachojua Thinner ama white spirit ni jamii ya spirit na ina kilevi kama spiriti nyingine unaweza try kwa kunusa.

Swali langu kuu ni juu ya matumizi kama inawezekana kuwa nayo ina uwezo wa kuua bacteria ikitumika pia kutengeneza sanitizer itafaa?

Binafsi natumia sana thinner sana kunawia kuondoa rangi mikononi mara baada ya kufanya shughuli zangu ila kitu ambacho nahitaji kufahamu ni kama ina uwezo wa kuuwa bacteria pia sababu ni kama haina tofauti na spirit nyingine,

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thinner ni kitu chochote kinachoweza kusharabu/kufyonza (absorbent)mafuta/grease.ethanol,benzene hata whisky unaweza kutumia kama thinner.kama thinner yako ni ethanol/spirit basi unaweza kutengenezea sanitizer.otherwise don't you dare
 
Asante sana mkuu nitafatilia zaidi ili niweze fanikisha wazo langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…