Mnamo tarehe 18/06/2013 vijana wengi waliitwa kufanya Usaili wa ASSISTANT INTERNAL AUDITOR pale TIA KURASINI ambapo usaili ule ulilatibiwa na NBAA.Ukweli NBAA nina imani nao sana ktk utendaji wao kwa uaminifu,ila kwa Usaili ule kweli hawakua huru(INDEPENDENT) kwa Mambo yafuatayo:
1. Waliaidi kutoa matokea Saa 11,lakini kilichotokea kwamba muda huo walitoa Majina ya Watu kwa ajiri ya usaili wa ana kwa ana pasipo matokeo na kutoonyesha majina mengine majibu waliopata kutoka kwenye huo mtihani wa kuandika,swali nini kilichowafanya wasitoe matokeo kama walivyo haidi na badala yake wametoa majina?.Je kwa nini kuwe na usili mkubwa hivyo? Je yale majina yamewekwa tu? hapo kuna Bias.Ni vema wangejifunza kutoka kwa secretariate ya Ajira ktk kutoa matokeo.Hivyo majina yale yametiliwa shaka na wengi kuwa ni ya kuwekwa.Kuhusiana na hoja kua eti kama haukuridhika basi uende pale NBAA wakuonyeshe matokeo yako,hoja hii haina mshiko kwani hata ukienda na wakakuonyesha haiwezi badili matokeo kwani siku ya usaili wa ana kwa ana unakua umesha pita na haiwezekani kurudiwa.Hivyo hayo yalikua ni maneno tu ya kufaraji na kutia imani kua eti kuna haki.
2.Kuto kutoa au kupiga simu au message kwa wasailiwa ili kujua kua amefaulu au la,je nn kilichofanya kuto kutoa taarifa na kuwa na usili kiasi hicho.
3.Kwa nini kwenye mtihani kulikuwa na uhuru sana ambapo baadhi ya watu walikua wanajadili utadhani sio mtihani na bila kufanywa chochote,kwa kifupi wasimamizi hawakua serious ktk kusimamia.Hii imetia shaka kwa tafsili kua pale wengi wao walikua wanawakilisha tu au kusindikiza tu na wenyewe wapo kama msemo usemao"KWENYE MASAFARA WA MAMBA NA KENGE WAPO"
4.Mtihani haukua na mfumu wa usili kiasi kwamba ilikua rahisi sana kwa watu kupeana majibu,hii inatia shaka kwamba kuwarahihishia wahusika wapeane majibu,
KWA HAYO MACHACHE WATU BADO WATAENDELEA KUAMINI KUA TANAPA ITAENDELEA KUWA YA VIGOGO TU.TAFADHALI MKURUGENZI BADILISHA IMAGE YA TANAPA KWA KUCHUKUA HATUA MAPEMA KTK HILO.ASANTE NAWASILISHA NA NILIOWAGUSA WANISAMEHE."Always Trueth Will Make You Free".Jifunzeni kutoka Secretariate ya ajira ingawaje nao wanamapungufu kidogo lakini kuna unafuu mkubwa sana