Je, nitarudi na roho yangu?

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,647
Baada ya wadada wengi walio visiwani zanzibar ku zima simu zao mara waliposikia nimetia nanga na wengine ku log off JF toka siku niliyosema nimeingia zanzibar. nilijikuta naishi maisha ya upweke,ukakasi,ugwadu na manyanyaso makubwa sana sijapata kuona toka dunia iumbwe. imagine jinsi ambavyo ghafla wana dunia hii hawa waliamua kunitenga... nilisikitishwa sana,niliumizwa sana,nilihuzunishwa sana,niliteseka sana na nikaghadhibika sana. nikajua yote hii ni sababu ya kuwa mimi ni GuDume. angekuwa mshana jr GENTAMYCINE etc wangemiminika hotelini kwake.

Nilikuwa napata tu habari za huku lakini kumbe ni kweli "usisikie ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe" nami nimejionea mwenyewe. ni kweli zanzibar kuna kanidhamu flan hivi kauoga kwa wanawake. huwezi tu kuwakuta wanazagaa zagaa kama huku kwetu bara pwani.hivyo ili kupata rafiki inabidi uwe na muda mwingi na pengine upate msaada toka kwa mwenyeji.

Lakini kama ambavyo wahenga walisema "atafutaye hachoki na hata akichoka,keshapata" kweli katika kupita pita kwangu nikakutana na ule usemi wa "Mvumilivu hula mbivu" ulijidhihilisha machoni pangu.

"kweli ongea na watu uvae viatu "katika hotel niliyofikia kuna mlinzi aliona namna ambavyo nilikuwa sina raha,amani na nuru kufifia usoni pangu.nilikuwa nimekaa tu kama kifaranga kilicho kosa mama au kilichonyeshewa. akajua tu kuwa "nobody likes to be alone" akaniuliza bro we mgeni huku? nikamwambia "naaaam wewe wasema" basi tukaongea sana nikapata nafasi kumdadisi habari za huku ndo akanambia nsitie shaka kama nataka shuka naweza pata yeye atahusika kuniunganisha na mtoto wa dada yake kashamaliza skul.ila kwa sasa yupo tu home hana hili wala lile na ni mdada mzuri wa haja.nikajiambia "heri kenda nenda kuliko kumi nenda rudi"

nikaomba mpe namba yangu ya simu ili tuwe tunawasiliana hasa kwa whatsapp... alikuwa mtoto mzuri chotara wa kiarabu ana kiuno kidogo kifua kimesimama vizuri na kiuno kimejitenga na kiwili wili.alikuwa mzuri kweli kweli. akaja kwa makubaliano ya kuwa we wouldnt have sex ni kampani tu akiwa kama dada yangu.kweli akaja. tukawa tunapiga stories ananitembeza mpaka mji mkongwe,jambiani,makundu uchi na mitaa mbalimbali tukienda beach n.k kwa heshima kabisa.then anarudi nami hotel nampatia pesa kiasi flan za naul anaondoka kabla ya saa 12.

Siku ya kwanza nlifanikiwa kuushinda moyo...siku ya pili tukiwa sisi wawili tu mida ya saa 8 hotelini "nilipiga moyo konde" nikaanza kutiririka na kububujika mistari ya moyo.dada alikataa kabisa na baadaye kusema hawezi kuitoa bikra yake maana wakati wa ndoa itahitajika.nilimbembeleza sana na mwishowe akanambia kama vipi basi anipe "blow job" hii haikuwa na shida..
 
ningekuwa mimi ningejiona sina akili sababu huu uzi ungenishushia heshima sana kwa wanaonifahamu hekima na busara zangu..!!!
 
sasa si wewe. kwa mtu ambaye hana hivyo vyote ulivyotaja kwa huu uzi anapoteza nini au anashusha nini?

ningekuwa mimi ningejiona sina akili sababu huu uzi ungenishushia heshima sana kwa wanaonifahamu hekima na busara zangu..!!!
 
sasa si wewe. kwa mtu ambaye hana hivyo vyote ulivyotaja kwa huu uzi anapoteza nini au anashusha nini?
kwa mtu ambaye hana hekima na busara anaongeza CV ya alivyokuwa navyo...
 
well said. sina na sijawahi dai nina hekima wala busara. so sina cha kupoteza. haya na wewe dada hapo umeathirika nini?maana mi sijakutaja jina lako kuwa.... nambie wasiwasi wako nini? au umepoteza nini?
kwa mtu ambaye hana hekima na busara anaongeza CV ya alivyokuwa navyo...
 
GuDume Gubegube.

Huko ukienda gesti na bidada lazima utoe cheti cha ndoa.
 
Ningekua mimi ningeomba ban kwa mods! maana ni upuuzi kutunga story mbovu kiasi hiki.
 
ongea na watu uvae viatu alwatan.. ukiuliza wataalamu watakupa siri nzito sana.. haya mambo nami nilikuwa najua hivyo hivyo kama wewe... yule mlinzi alini prove me wrong.
GuDume Gubegube.

Huko ukienda gesti na bidada lazima utoe cheti cha ndoa.
 
siyo ban tu..ungeomba ni mahari ilipwe kwa wazazi wako kabisa ili wanaume wasikuchezee tu.

Ningekua mimi ningeomba ban kwa mods! maana ni upuuzi kutunga story mbovu kiasi hiki.
 
ongea na watu uvae viatu alwatan.. ukiuliza wataalamu watakupa siri nzito sana.. haya mambo nami nilikuwa najua hivyo hivyo kama wewe... yule mlinzi alini prove me wrong.
Wewe ulitakiwa kuongea na watu kabla hujaenda.

Ningekupa funguo za Serena Hotel na mtu wa kukuonesha mji.
 
Kuna wakati fulani Shetani anakushawishi kufanya jambo na anakusindikiza Lakini ukianza kufanya tu Shetani anakimbia huku akisema Huyu amezidi Ushetani kunizidi Mimi.............!!
 
hakija haribika kitu. unaweza nitumia tu hizo funguo kwa boat ya jioni. utakuwa umenisaidia sana.
Wewe ulitakiwa kuongea na watu kabla hujaenda.

Ningekupa funguo za Serena Hotel na mtu wa kukuonesha mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…