Je nifanyeje?

Joined
Aug 10, 2013
Posts
10
Reaction score
0
nimezaa naye mtoto na kiukwel ananipenda sana an sana ila anavitabia ambavyo siridhiki navyo na habadiliki hivyo nmepanga tuachane ila cjui nitumie mbinu zipi??
 
vitabia vipi hivyo?
ukiachana nae huko utakakokwenda je una uhakika hakuna vitabia vya kukuudhi?

umewahi sikia watu wanaacha kazi ndo wanatafuta kazi?
 
una miaka mingapi.!?
Una elimu gani.?

Hayo maswali yatanipa mwongozo nikushauri nini..
Please nijibu.
 
hakuna binadamu aliekamilika
hivo vitabia havivumiliki?
una uhakika wewe tabia zako si kikwazo kwake?
umeshazungumza nae juu ya vitabia vyake?
 
coz nmejaribu kumshauri mara nyingi ila naona haelekei na 1 ya sababu izo ni kwamba anadharau sana sa hawaheshim hata wazaz wng
 
nimezaa naye mtoto na kiukwel ananipenda sana an sana ila anavitabia ambavyo siridhiki navyo na habadiliki hivyo nmepanga tuachane ila cjui nitumie mbinu zipi??

uachane nae ili uende wapi?au ndo umeshaanza kudanganyika na wa pembeni?nani alikwambia binadamu ni mkamilifu?utamwacha huyu kwa sababu ya haya,utampata mwingine ambaye hana mapungufu ya aina hii ila itakuwa na mapungufu katika sekta nyingine ambayo ukigundua utaona afadhali ya jana kuliko leo,
 
umejarbu kuzungumza nae? Umejarbu kuwashrksha wazazi wa pande zote mbili? ukimuacha unataka uende kwa nan??? Kunamtu umemuona amekamilika?? Umesema anakupenda, je? Wewe unampenda? Isjekuwa yeye analazmisha kumbe wewe ktambo ushamtema kwahyo unatafuta vijisababu vya kumkimbia.
 
coz nmejaribu kumshauri mara nyingi ila naona haelekei na 1 ya sababu izo ni kwamba anadharau sana sa hawaheshim hata wazaz wng

Wakati mnaanza mahusiano mpaka mnapata mtoto hakuwa na hizo tabia? Uliwezaje kuzivumilia then ushindwe sasa?
Kama umeshaamua huwezi tena kuvumilia mwambie tu kila mmoja ashike njia yake mtaonana Fun City mkimpeleka mtoto kubembea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…