Akilitime JF-Expert Member Joined Dec 27, 2017 Posts 581 Reaction score 763 Mar 20, 2018 #21 ....... Mhh nampenda sana na sijui kama kumuacha ndo itakuwa solution.. I really need help guys........'". ACHA KUCHEZA NA AKILI ZETU KIJANA, SO UNATAKA SIE TUKUSHAURI NN WAKATI TAYARI UAMUZI UPO NAO
....... Mhh nampenda sana na sijui kama kumuacha ndo itakuwa solution.. I really need help guys........'". ACHA KUCHEZA NA AKILI ZETU KIJANA, SO UNATAKA SIE TUKUSHAURI NN WAKATI TAYARI UAMUZI UPO NAO
Akilitime JF-Expert Member Joined Dec 27, 2017 Posts 581 Reaction score 763 Mar 20, 2018 #22 Dar es salaam
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,829 Mar 20, 2018 #23 Msaidie kutoka kwenye hiyo hali halaf umuache akiwa salama, itamuumiza ila utaishi daima katika maisha yake
Msaidie kutoka kwenye hiyo hali halaf umuache akiwa salama, itamuumiza ila utaishi daima katika maisha yake
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,968 Reaction score 26,239 Mar 20, 2018 #24 acha kuwa lijinga la mapenzi..piga chini huyo
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,394 Mar 20, 2018 #25 jakitoo said: Duuuuhhh [emoji45] inasikitisha. Click to expand... hahahaa msaidie WiFi yko
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,854 Reaction score 4,693 Mar 20, 2018 #26 Achana nae. Hivi unajua mwanamke anae Fanya mambo hayo hua hawazai kabisa???. Wana beba mimba but kuzaa siku ya mwisho n tabu
Achana nae. Hivi unajua mwanamke anae Fanya mambo hayo hua hawazai kabisa???. Wana beba mimba but kuzaa siku ya mwisho n tabu
Dharra JF-Expert Member Joined Jun 23, 2017 Posts 1,661 Reaction score 2,975 May 27, 2018 #27 Muu pathfinder_tz hukuleta tena mrejesho kuhusu hili kaka.