Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 34,733 41,045 Sep 13, 2016 #21 Ni huruma za msajili wa vyama tu ndio inaiweka chadema mpaka sasa, ila hakina sifa za kuitwa chama cha siasa, bali kikundi cha watu.
Ni huruma za msajili wa vyama tu ndio inaiweka chadema mpaka sasa, ila hakina sifa za kuitwa chama cha siasa, bali kikundi cha watu.
M mwembemdogo JF-Expert Member Feb 28, 2016 2,282 1,251 Sep 13, 2016 #22 Ukitaka ipe usipotaka sisi tutaipa
K King Son Member Sep 8, 2016 79 53 Sep 13, 2016 #23 Hakuna haja ya CDM kuumiza kichwa kwani mtani kakalia kigoda si chake thus why anahaha vibaya, tunasubili awavuluge nyinyiemu vizuri njia nyeupe 2020 hapa tunasubili tume huru ya uchaguzi kama si hivyo ipo siku patachimbika.
Hakuna haja ya CDM kuumiza kichwa kwani mtani kakalia kigoda si chake thus why anahaha vibaya, tunasubili awavuluge nyinyiemu vizuri njia nyeupe 2020 hapa tunasubili tume huru ya uchaguzi kama si hivyo ipo siku patachimbika.