thespecial one
Member
- Mar 20, 2017
- 81
- 23
Ila wame andika pale ktk website yao wana chukua Cs 3 so uwe na point 6 kwa walio maliza 2013 na point 9 kwa walio maliza 2012 kurud nyuma na hizo point wana angalia PHY,CHEM & MATH so hii ime kaaje mkuu?Utajiunga bila tatizo kama private sponser...ila kuchaguliwa direct na serikali hapo ni issue
Kweli unaweza kupata lakin hapo kwenye physics patakusumbua kwa kwelii ni CCC wanataka pale kwa electrical, civil etc[/QUOTE
ila niliona wameandika au english sasa sijui itakuwaje ila ngoja nijaribu hivyo hivyo
Apply pre entry kwa usalama wakomimi nimemaliza form four 2016 na ufaulu wangu ni physics D,chemistry C,mathematics C biology C ,english C na masomo yaliyobaki yote ni C, je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering pale DIT,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii forum
Wanataka point 9 katoka pcm, ikiwa no phiscs C , mathematics C na chemistry C, kwa waliomaliza form four 2016, 2012, 2011 ,2010 kurudi nyuma, na kwa waliomaliza form four ,2013,2014 wanata minimum point 6 katika pcm, sasa naona kwa matokeo yako una point 8, sijui kama itawezekana labda kawa kozi za laboratory na biomedical watakuchukua kwa sababu biology wanaipa kipaumbelemimi nimemaliza form four 2016 na ufaulu wangu ni physics D,chemistry C,mathematics C biology C ,english C na masomo yaliyobaki yote ni C, je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering pale DIT,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii forum
Yeah ndo hivyoIla wame andika pale ktk website yao wana chukua Cs 3 so uwe na point 6 kwa walio maliza 2013 na point 9 kwa walio maliza 2012 kurud nyuma na hizo point wana angalia PHY,CHEM & MATH so hii ime kaaje mkuu?
Pre entry imefutwaaaa mwaka Jana ndo ilikuwa mwishooApply pre entry kwa usalama wako