V Valentino ntabagi New Member Joined Jan 25, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Jan 25, 2021 #1 Mimi nimemaliza form 4 2020 Nimepata Kiswa- B History D Eng- C Geo - C Civ - C Bios - C Math F Nina division 3 ya 23. Je, naweza kuchaguliwa shule za serikali?
Mimi nimemaliza form 4 2020 Nimepata Kiswa- B History D Eng- C Geo - C Civ - C Bios - C Math F Nina division 3 ya 23. Je, naweza kuchaguliwa shule za serikali?
Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,339 Jan 25, 2021 #2 Uliomba combination gani za kwenda kusoma advance?
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,984 Jan 25, 2021 #3 Utaenda chuo cha ualim
Desert Lion Member Joined Sep 8, 2020 Posts 85 Reaction score 67 Jan 28, 2021 #4 Na vipi kuhusu mwenye 3 ya 23 akiwa na hist D kiswa B labg B geo D Phy D bio ,C chem D civ D na math F ni wa kike anaeza akaenda kweli
Na vipi kuhusu mwenye 3 ya 23 akiwa na hist D kiswa B labg B geo D Phy D bio ,C chem D civ D na math F ni wa kike anaeza akaenda kweli
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,063 Reaction score 16,595 Jan 28, 2021 #5 Jiandae kuwa mwalimu. Asante
Mzee23 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 1,742 Reaction score 3,673 Jan 28, 2021 #6 Jibu wanalo 'Tamisemi' Wanajua ufaulu ukoje Tz ikilinganishwa na shule zilizopo(nafasi)
Mr.Wenger JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 2,572 Reaction score 6,210 Feb 4, 2021 #7 HGK na HKL anaweza kuchaguliwa lkn itategemea na overall performance. Kama kuna maninja wengi wana better results basi andaa pesa ya private Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
HGK na HKL anaweza kuchaguliwa lkn itategemea na overall performance. Kama kuna maninja wengi wana better results basi andaa pesa ya private Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app