AhahahaHaya mambo yananifikirishaga sana na ukitaka ufafanuzi kwa wafia dini vinywa vyao vitatamka laana tu.
.
Mfano wewe unamkosoa mungu utakufa kifo cha ajabu.
Zama za mwisho watatokea manabii wa uongo ndio nyinyi.
Wewe ni mtu uliye zambini na umepotoka.[emoji120][emoji120]
😂😂😂Watu mkisha kunywa bia za ofer za weekend mnakuja kucheulia humu jf..
Pathetic 7.5kg
Inategemea unamzungumzia mungu gani mkuu.Tunaambiwa kwenye maandiko kuwa baya huzaa baya na jema huzaa jema. Na mungu, "ametuumba" wote kuwa ni watenda dhambi/sinners. Ambapo dhambi huwa ni jambo baya.
Kwa hiyo mungu anaweza kuonekana na kuhesabiwa kuwa ni original sinner since the fruits of his labor (us) went bad or are born bad. Mti hujulikana kwa matunda yake. Nini kingine kinaweza kutoka kwa mti wenye dhambi kama sio dhambi?
Kwahiyo mungu amefail kuwa competent kulingana na yafuatayo.
God created heaven that produced Satan. Fail.
God created Eden which produced Original Sin. Fail.
God had to reboot creation with Noah’s flood. Fail.
God sent his son to forgive mankind instead of stepping up himself. Fail, for moral reasons.
God also had to create hell for his rejects which scriptures say will be the vast majority of us. Fail.
Yesu alisema tutawajua watu wake kwa kazi na matendo yao na ikiwa "tunaamini hivyo", basi mungu bila shaka angekataliwa na Yesu na kukubaliana na conclusion kuwa amefeli.
Kama huna LA kuandika kaa kimya au mkaze mkeoTunaambiwa kwenye maandiko kuwa baya huzaa baya na jema huzaa jema. Na mungu, "ametuumba" wote kuwa ni watenda dhambi/sinners. Ambapo dhambi huwa ni jambo baya.
Kwa hiyo mungu anaweza kuonekana na kuhesabiwa kuwa ni original sinner since the fruits of his labor (us) went bad or are born bad. Mti hujulikana kwa matunda yake. Nini kingine kinaweza kutoka kwa mti wenye dhambi kama sio dhambi?
Kwahiyo mungu amefail kuwa competent kulingana na yafuatayo.
God created heaven that produced Satan. Fail.
God created Eden which produced Original Sin. Fail.
God had to reboot creation with Noah’s flood. Fail.
God sent his son to forgive mankind instead of stepping up himself. Fail, for moral reasons.
God also had to create hell for his rejects which scriptures say will be the vast majority of us. Fail.
Yesu alisema tutawajua watu wake kwa kazi na matendo yao na ikiwa "tunaamini hivyo", basi mungu bila shaka angekataliwa na Yesu na kukubaliana na conclusion kuwa amefeli.
Ukichunguza sana utaona huyo Mungu hayupo, katungwa na watu tu.Tunaambiwa kwenye maandiko kuwa baya huzaa baya na jema huzaa jema. Na mungu, "ametuumba" wote kuwa ni watenda dhambi/sinners. Ambapo dhambi huwa ni jambo baya.
Kwa hiyo mungu anaweza kuonekana na kuhesabiwa kuwa ni original sinner since the fruits of his labor (us) went bad or are born bad. Mti hujulikana kwa matunda yake. Nini kingine kinaweza kutoka kwa mti wenye dhambi kama sio dhambi?
Kwahiyo mungu amefail kuwa competent kulingana na yafuatayo.
God created heaven that produced Satan. Fail.
God created Eden which produced Original Sin. Fail.
God had to reboot creation with Noah’s flood. Fail.
God sent his son to forgive mankind instead of stepping up himself. Fail, for moral reasons.
God also had to create hell for his rejects which scriptures say will be the vast majority of us. Fail.
Yesu alisema tutawajua watu wake kwa kazi na matendo yao na ikiwa "tunaamini hivyo", basi mungu bila shaka angekataliwa na Yesu na kukubaliana na conclusion kuwa amefeli.
Acha mawenge", mtoa mada hajafunja sheria za Jf " katiba ya nchi pia inamruhusu kuhoji" muache awakilishe kile anachokiona kuwa ni sahihiModerator - kwa kusoma tu heading yake, uzi huu unakwaza imani. Tafadhali ufutilie mbali.