Wanaangalia mechi 12 za mwanzo....sio na zile za 5 za mwisho...kwahiyo kama hizo ulizopata zipo ndani ya zile 12 za mwanzo umeshinda..ila kama ni zile 5 za mwisho umeliwa
Wanaangalia mechi 12 za mwanzo....sio na zile za 5 za mwisho...kwahiyo kama hizo ulizopata zipo ndani ya zile 12 za mwanzo umeshinda..ila kama ni zile 5 za mwisho umeliwa
Kuna vigezo na masharti, je umesoma? Kwa ninavyoelewa ni kwamba hizo mechi za akiba zinahesabika endapo ndani ya zile 12 za kwanza kuna mechi ziko postponed, cancelled n.k.
Kila kitu kiko wazi kwenye terms and conditions, soma ndugu.