The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,226
Elimu sahihi ni mbegu, pesa ni matunda.
Tumekua na mawazo mfanano🤣🤣🤣🤣Bila pesa elimu utaipata wapi ndugu yangu?
Bila elimu utapataje pesaBila pesa elimu utaipata wapi ndugu yangu?
Bila elimu utapataje pesa?Utapataje pesa bila elimu?
Utaokota😹Bila elimu utapataje pesa?
Kipi kiarabu hapo bwashee ?Bila elimu utapataje pesa?
Kuku na yai kipi kilianzaKipi kiarabu hapo bwashee ?
Hakuna kichoanza vyote vipo kwenye mzunguko tuKuku na yai kipi kilianza
Bila elimu huwezi kupata pesa“Kabla ya kusema pesa ni bora kuliko elimu, inabidi utofautishe ni elimu ipi.”
Elimu haimaanishi tu vyeti na madarasa ya kawaida; bali ni maarifa, ujuzi, na mtazamo unaobadilisha maisha.
Kuna elimu ya darasani (rasmi), elimu ya maisha (isiyo rasmi), na elimu ya kifedha au kibiashara. Elimu sahihi inaweza kukuongoza kupata pesa, lakini pesa bila elimu sahihi huweza kuisha haraka au hata kukuharibu.
Pesa ni muhimu, lakini elimu bora hukufanya ujue kuitumia pesa kwa busara. Hivyo, badala ya kubishana ipi bora kati ya pesa na elimu chagua elimu itakayokuletea pesa na kukulin
Kivipi wakati pesa mwanzilishi wake ni makubaliano kati ya binadamu na binadamu 🤔Hii falsafa ni ya kuku na yai
Hizi picha zenu za wadada warembo zina shika lakini 🤔Bila elimu huwezi kupata pesa
Mh🤔Hizi picha zenu za wadada warembo zina shika lakini 🤔
Wazo ndio uzaa pesa.Kivipi wakati pesa mwanzilishi wake ni makubaliano kati ya binadamu na binadamu 🤔