Eti hakuna awali mbaya. Nimekaa na mwanamke miaka 12. Nilimuacha mwaka juzi kwa sababu alinipakazia mtoto si wangu. Sasa anataka turudiane akidai hakuna awali mbaya.
Eti hakuna awali mbaya. Nimekaa na mwanamke miaka 12. Nilimuacha mwaka juzi kwa sababu alinipakazia mtoto Si wangu. Sasa anataka turudiane akidai hakuna awali mbaya!! Niko njia panda.
Kama unampenda mrudiane tu, hasa mtu uta ishi naye wewe mwenyewe tutakumuliaje hapa jf!?
Usije ukajifanya eti unajikaza humtaki kisa public opinion, amua unachoona kina faa kwako.
Na utakuwa si udhaifu ila ni kupenda tuu na kuwa na maamuzi yako
Kama unampenda mrudiane tu, hasa mtu uta ishi naye wewe mwenyewe tutakumuliaje hapa jf!?
Usije ukajifanya eti unajikaza humtaki kisa public opinion, amua unachoona kina faa kwako.
Na utakuwa si udhaifu ila ni kupenda tuu na kiwa na maamuzi yako
Eti hakuna awali mbaya. Nimekaa na mwanamke miaka 12. Nilimuacha mwaka juzi kwa sababu alinipakazia mtoto si wangu. Sasa anataka turudiane akidai hakuna awali mbaya.
Kweli kabisa hakuna awali mbovu kungekuwa na awali mbovu msingekuwa mnakuja kila siku kuomba ushauri wa mtu aliyepita kina vitu ulipo hamna pamoja na mapungufu yake