Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,743
- 3,319
Zipo ,Marekani,China na n.k
kweli au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Hii inanuka madeniIpo moja tu dunia nzima nayo ni Tanzania.....sisi ndo tuna wadai mfano noah zetu bado azija fika adi leo [emoji41]
USA ndio nchi yenye deni kubwa kuliko nchi nyingine yoyote duniani. Na hizi chini ndio nchi zinazomdai marekani hela (zimeandika kwa BILLION $, usije ukafikiri hela ya bongo hio) kwa kifupi anadaiwa DOLLAR $BILLION 6,287.0We kwa unavyo ona hivi kuna nchi gani inaweza ikamkopesha marekani?
Dah! ssa mkuu ipi isiyodaiwa labda unisaidieUSA ndio nchi yenye deni kubwa kuliko nchi nyingine yoyote duniani. Na hizi chini ndio nchi zinazomdai marekani hela (zimeandika kwa BILLION $, usije ukafikiri hela ya bongo hio) kwa kifupi anadaiwa DOLLAR $BILLION 6,287.0View attachment 909834
woi tena marekani anadaiwa deni kubwa sana semaZipo ,Marekani,China na n.k
Mkuu n. K means North Korea au!Zipo ,Marekani,China na n.k
Mkuu n. K means North Korea au!
woi tena marekani anadaiwa deni kubwa sana sema
We kwa unavyo ona hivi kuna nchi gani inaweza ikamkopesha marekani?
Brunei, Macau, British virgin islands,Palau na moja karibu na Switzerland.Dah! ssa mkuu ipi isiyodaiwa labda unisaidie
We kwa unavyo ona hivi kuna nchi gani inaweza ikamkopesha marekani?