Sijawahi kuwasikia wapinzani wakimtukana Lowassa hata siku moja! Ndiyo pale mtu unaona kabisa na kabaini ukomavu wa kina Mbowe, Lipumba, Mbatia, Slaa na vijana wao kina Mnyika na wengine.
Nina ndoto kuhusu hawa wapinzani hasa ndugu Mnyika iko siku moja kwa msaada wa Mungu aliye hai Mnyika atapigiwa Mizinga 21 na moja katika ardhi hii ya Tanzania.
Hili lipo na limesharatibiwa katika ulimwengu Wa roho.