Je! huyu ni team Lowassa?

chris01

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
29
Reaction score
16

Ninaamini Siasa si Uadui na kuwa na urafiki na Mtu si lazima kukubaliana nae kila kitu asemacho.
Naomba wanajanvi mniambie wanasiasa hawa wakongwe ni kweli lazima wawe team ili nchi iendelee kijamii, kiuchumi na kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…