Jambo..
Utamaduni wa kizungu kimavaz ya kike hasa katika maeneo ya mijini unakuwa practised ipasavyo, ukimsema mwanamke au kumgusa kwa mavaz ake utaskia manyanyaso ya KIJINSIA bila kujua na wao wanatufanyia wanaume manyanyaso ya KIHISIA NA KISAIKOLOGIA
Titi nje karibu lote, vyupi vinachora au vimetokeza nyuma, mibano kupindukia, kitovu nje, michoro ya nyeti kwa nguo lain etc
Kwa habar zaid ya sample ya dawa yao angalia clip hii chin;
View attachment 1028772
Sent using
Jamii Forums mobile app