KAZI anayokwenda kufanya ni ya muhimu zaidi kuliko huo ubalozi. Stamico Ina majukumu makubwa sana ya kusaidia kuwalea wachimbaji wadogo wa Madini. Stamico ndio shirika la SERIKALI linalowekeza ktk Sekta ya MADINI. Kama mwenyekiti wa bodi anawajibu Mkubwa kabisa wakuhakikisha Sekta ya wachimbaji wadogo inastawi na kuongeza mchango wake kwenye Pato la taifa utokanao na sekta ya madini. Kwa Sasa wachimbaji wadogo wanachangia 40 percent ya mchango wote wa Sekta. Na sekta inakua kwa zaidi ya 17%.
Siro atatumia taaluma yake kuhakikisha Stamico Ina deliver. Kila la heri mheshimiwa balozi Siro. Karibu kwenye industry