Msingi wa dawa kufanya kazi ni matokeo ya utafiti unaoonyesha kuwa wadudu/bakteria gani husababisha ugonjwa upi na eneo lipi la mwili.
Hivyo, utolewaji wa dawa huzingatia hilo.
Kwa msingi huo, Ampiclox huweza kutibu magonjwa ya sehemu hizi yaliyosababishwa na bakteria ambao Ampiclox hufanya kazi vyema:
1: Ngozi
2: Misuli
3: Njia ya hewa
4: Njia ya mkojo nk.
LAKINI, ni pale mtoa huduma ya afya anapoona maambukizi na na aina ya wadudu vina nafasi kubwa kufanyiwa kazi na dawa husika
Mfano: TB ya mapafu/kifua kikuu ni maambukizi ya njia ya hewa, lakini Ampiclox haiwezi kufanya kazi hapo.
NB: Hapa ndo nafasi ya wataalamu wa afya ilipo pia.
Ndio inatibu kabisaa UTI ila ikiwa katika kiwango kidogo....na kwa mtu ambae ameshazoea kumeza dawa kubwa kuliko Ampiclox kama vile.....cipro...azuma....akitumia hii Ampiclox inaweza isilete matokeo
Ndio inatibu kabisaa UTI ila ikiwa katika kiwango kidogo....na kwa mtu ambae ameshazoea kumeza dawa kubwa kuliko Ampiclox kama vile.....cipro...azuma....akitumia hii Ampiclox inaweza isilete matokeo